Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MUDA WOWOTE BALEKE KUTAMBULISHWA YANGA…STORI IKO HIVI

0
HUENDA ukawa ni mshituko mwingine kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam, sasa inafanya mipango ya kumshusha...

SIMBA YAVIUNGO IMERUDI…WAPINZANI MJIANDAE

0
Usajili wa Augustine Okejepha kutoka Rivers United kuja Simba unaashiria kazi ngumu iliyopo mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Fadru Davids katika upangaji...

MASTAA SIMBA WASHUSHA PRESHA…MO DEWJI ARUDI NA SPIDI 120

0
"NYIE TULIENI TU" Ndivyo ambavyo mastaa wa Simba walivyotoa ahadi mbele ya kikao kizito kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa...

SIMBA YASHUSHA MRITHI WA INONGA…CHAMOU KARABOUE…BALAA LAKE NI HILI

0
Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati, Chamou Karaboue raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa...

MRITHI WA LOMALISA ATAMBULISHWA YANGA…CHADRACK BOKA YUPO AVIC

0
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Ilikuwa ni...

YAMETIMIA…KAZINI KWA TSHABALALA KUNA KAZI…VALENTIN NOUMA NI MNYAMA

0
ILIKUWA NI JUNI 29, Tangu habari hii ichapishwa kwa mara ya kwanza hapa Soka la Bongo na hatimae leo imekuwa rasmi, baada ya miaka...

TAIFA STARS YAITAKA AFCON 2025…YAPANGWA NA WAZOEFU…RATIBA IKO HIVI

0
Taifa Stars imepangwa kundi H katika mashindano ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi...

MAKOCHA, WACHEZAJI, WACHAMBUZI WATOA NENO USAJILI WA SIMBA…AHOU VS CHAMA

0
WADAU wa Soka mbalimbali  wakiwemo  makocha wa Zamani  wa Simba,  wachezaji na wachambuzi wameonekana kutupia jicho zaidi  kwenye sajili za Simba, huku kubwa zaidi...

JEAN AHOUA NA MZIMU WA CHAMA SIMBA…UBORA WAKE UKO HAPA

0
Kiungo mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Jean Charles Ahoua anakabiliwa na mtihani mzito wa Clatous Chama. Usajili huo umekuwa gumzo kwa mashabiki wa Simba wakiamini nyota...

YANGA YAANZA NA GUEDE…AMPISHA MGHANA & BALEKE

0
MSHAMBULIAJI aliyemaliza na mabao sita katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Kombe la FA na moja la Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS