Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

HABARI ZA USAJILI…MOLOKO WA YANGA KURUDI BONGO

0
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC...

CHADRACK BOKA ATUA BONGO USIKU WA MANANE…YANGA YAMFICHA HOTELINI

0
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki...

FELIX SUNZU: SIMBA IMELAMBA DUME…ATOA TAHADHARI KWA MUTALE

0
Straika wa zamani wa Simba, Felix Sunzu akizungumzia usajili wa kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Joshua Mutale kutoka Zambia amesema kwamba timu hiyo...

SIMBA YASHUSHA MCONGO…VIUNGO WAWILI WATAMBULISHWA

0
KLABU ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Debora Fernandes kwa mkataba wa miaka mitatu. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Wekundu hao wa Msimbazi akitokea Klabu ya...

PRINCE DUBE ADUI WA SIMBA ATAMBULISHWA YANGA…KIMAFIA ZAIDI

0
Nyota wa zamani wa Highlanders FC ya Bulawayo Zimbabwe ya Mugabe, Alipita Super Sports United ya Pretoria na akatamba pia Black Leopard zote kwa...

BENO KAKOLANYA AVUNJA UKIMYA…AWAJIA JUU WANAOMSEMA

0
ALIYEKUWA kipa wa Singida BS na Simba SC, Beno Kakolanya amemaliza utata, akisema misimamo yake imekuwa ikimponza kwa watu wakimchukulia kama mtovu wa nidhamu. Beno...

IBENGE ATETA NA CHAMA & AZIZ KI…AFICHUA KILICHO MUAONDOA CHAMA...

0
Florent Ibenge Kocha mku wa Al Hilal amemzungumzia nyota mpya aliyesajiliwa na Yanga kutoka Simba, Clatous Chama na kilichomkwamisha kufanya vizuri Morocco, huku akitia...

SIMBA YAPIGWA KO NA JKT TANZANIA…MWAMBA AKUBALI

0
JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa...

COASTAL UNION YAZIDI KUWEKA MSIMAMO…YAMUITA KAMBINI LAMECK LAWI

0
Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wao wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili...

KOCHA WA SIMBA KUIBUKIA MAMELODI…APISHANA NA FADLU DAVIDS

0
BAADA ya kukwama kujiunga na Klabu ya Simba, Kocha Steve Komphela ametua Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Komphela ataungana na Monqoba Mngqithi kukikonoa kikosi hicho...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS