AHMED ALLY ATANGAZA VITA…SIMBA IMEKAMILISHA USAJILI.
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewatoa hofu wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuwa michakato ya usajili inaendelea na wako…
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewatoa hofu wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuwa michakato ya usajili inaendelea na wako…
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo msimu ujao baada ya kurudi timu ya zamani ya Azam…
SADIO KANOUTE Ameendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka kuondoka Simba ili akatafute changamoto mpya, ambapo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na waajiri wake hao.…
MENEJIMENTI ya Mrithi wa Henock Inonga imetua Dar kumalizana na Simba muda wowote kuanzia sasa, wakati huo wachezaji wa Simba wakitarajiwa kuanza kuingia kambini kuanzia…
MABOSI wa Simba wako katika mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ohoua. Nyota huyo anayekipiga Stella Adjame ya…
NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwingine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo na mkataba huo Umefanya kuwa Beki…
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio sasa anatajwa kumalizana na Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho kinataka…
Klabu ya Simba imetumia zaidi ya Sh300 milioni kupata saini ya straika Mganda, Steven Dese Mukwala (24) ambaye alikuwa akiwaniwa na klabu mbalimbali ikiwemo FC…
Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Jamhuri ya Congo Debora Mavambo Fernandes (mwenye jezi nyeupe pichani juu) aliyekuwa aakiitumikia Mutondo Stars ya…
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria. Hata hivyo Pirates wameambulia…