Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SAKATA LA LOMALISA LAMUIBUA MWINYI ZAHERA…HATMA YAKE YANGA

0
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili, beki Mkongomani, Joyce Lomalisa anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu...

TAARIFA ZA NDANI SIMBA…KAPOMBE NAE APEWA MKATABA WENYE MASHARTI HAYA.

0
KLABU YA SIMBA imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake wa kulia, Shomari Kapombe ambao ndani yake una kipengele cha kumuongeza mwaka mmoja mwingine...

SIMBA YAWAONGEZA MKATABA MZAMIRU & ISRAH…MWINGINE ATAMBULISHWA

0
KIUNGO wa Simba fahari ya Morogoro, mtaalamu kabisa wa dimba la kati Mzamiru Yassin Selemba, ameongeza mkataba wa kusalia Simba hadi mwaka 2026. Mzamiru ameongezewa...

INONGA AIPATIA SIMBA MIL 500…WAARABU WAMALIZA KILA KITU

0
ALIYEKUWA Beki wa Simba Henock Inonga amejiunga na FAR Rabat ya Morocco baada ya timu hiyo kufuata saini yake. FAR Rabat imezungumza na Simba ikitaka...

SIMBA YAMALIZANA NA AUGUSTINE OKEJEPHA…AANZA SAFARI RASMI.

0
KIUNGO mkabaji wa Rivers United, Mnigeria Augustine Okejepha ameeleza dili lake la kujiunga na Simba, huku akisisitiza shauku yake kubwa ni kucheza soka la...

MIFUMO MINNE YANA KUITUMIA…CHAMA, AZIZ KI, PACOME KUCHEZA PAMOJA

0
HIVI Umewahi kuifikiria Yanga hii yenye, Clatous Chama kule Prince Dube, Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli na Mudathir Yahya ambao waliwafanya Wananchi...

JULIO ATIA NENO SAKATA LA CHAMA…ATOA MIFANO YA MIAKA YA NYUMA

0
Jamhuri Kiwelu Julio ameingilia kati sakata la mchezaji wa Simba Clatous Chama ambaye inasemekana amekataa kuongeza mkataba mpya kwa madai ya kuongezewa stahiki zake. Chama...

SIMBA YAPIGA PESA ZA WAARABU DILI LA INONGA.

0
UONGOZI wa Simba SC umetangaza kuachana na mchezaji wao Kitasa Henock Inonga ambaye atajiunga na AS Far Rabat ya nchini Morocco. Simbe jioni ya Juni...

HENOCK INONGA AAGA SIMBA…UJUMBE HUU AMEANDKA NA KUFUTA

0
BEKI wa Simba SC Henock Baka Inonga amewaaga mashabiki wa Klabu hiyo kwa kumpokea na kumfanya adumu katika klabu hiyo misimu mitatu. Inonga ametumia mitandao...

KWANINI COASTAL WANAGOMBANA NA SIMBA? UNAKUMBUKA KISA CHA VIATU VYA NAVY?

0
Ugomvi wa Coastal Union na Simba haujaanza juzi tu kwenye sakata la Lameck Lawi bali umeanza miaka mingi iliypita, na kinachofanya Vilabu hivi viwili...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS