Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA KUTUMIA UWANJA WA SHEIKH AMR ABEID ARUSHA

0
TAARIFA za ndani kabisa kutoka klabu ya Simba ni kwamba vongozi wanafikiria kuhamishia mechi zao za nyumbani msimu ujao 2024/25 kwenye Uwanja wa Sheikh...

KRAMO AMEPONA..SIMBA WAJIANDAA KUMSHUHUDIA  UWANJANI

0
WINGA hatari kutoka Asec Mimosas aliyesajiliwa na Simba Aubin Kramo inaelezwa kwamba ameshapona majeraha yake, sasa yuko tayari kutoa burudani ndani ya uwanja. Habari za...

GAMONDI HATAKI MCHEZO…AMPIGIA SIMU BEKI MPYA…AMPA MAELEKEZO HAYA.

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amepiga simu moja kwa beki mpya kutoka FC Lupopo Chadrack Boka na kumpa maelekezo mazito kuhusu msimu ujao ambapo...

JOBE HUYOO ANASEPA…SIMBA KUMLIPA MIL 200

0
Simba imepanga kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwaajili ya msimu ujao. Jobe alijiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari kwa mkataba...

BREAKING NEWS…SIMBA YAMUACHA SAIDOO…SABABU ZATAJWA.

0
UONGOZI WA SIMBA, umefikia makubaliano ya kuachana na mchezaji wao Raia wa Burundi Saidoo Ntibazonkiza ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa miaka miwili. Mkataba wa...

FARID MUSSA AMTAJA CHAMA KUHARIBU MIPANGO YAKE…ATAJA TUKIO BAYA ALILOKUTANA NALO

0
KIRAKA Farid Mussa amedumu Yanga kwa misimu yenye mafanikio zaidi kwake akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu Bara, na mataji mawili ya...

GAMONDI AWAPA PROGRAMU MAALUM MASTAA WAKE…YMO AZIZ KI NA PACOME

0
MUITE Miguel Gamondi Master, Hataki masihara na chama lake, amewapatia programu maalum mastaa wake, ili kuwafanya wawe timamu kimwili na akili pindi msimu mpya...

DIDA ASHANGAZWA NA MIGOLI YA MUDATHIR…ASIMULIA KILA KITU

0
ALIYEWAHI kuwa wa zamani wa Simba SC na Yanga kwa nyakati tofauti, Deogratius Munishi ‘Dida’ amesema miongoni mwa mabao bora ya msimu ulioisha, limo...

CRESCENTIUS MAGORI…SIMBA MPYA INAKUJA TULIENI

0
KAZI imeanza na sasa heshima ya Simba inakwenda kurejea, ndiyo maneno ya mjumbe mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo,Crescentius Magori baada ya...

BREAKING NEWS…YANGA YAFUNGIWA KUSAJILI, SABABU ZAWEKWA WAZI

0
KLABU YA YANGA imefungiwa kusajili wachezaji wapya, kutokana na kukiuka kanuni za usajili za FIFA. Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF, iliyotoka leo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS