Home Authors Posts by admin

admin

25269 POSTS 9 COMMENTS

KMC HESABU ZAO KWA SASA NI DHIDI YA NAMUNGO

0
 UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa umeanza maandalizi ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo.KMC imetoka kutolewa hatua ya robo...

ORODHA YA TIMU AMBAZO ZIMETINGA HATUA YA ROBO FAINALI KOMBE LA...

0
BAADA ya timu kusaka ushindi kwenye mechi zao za Kombe la Shirikisho ni timu nane zimepanya hatua ya robo fainali. Hizi hapa timu ambazo zimetinga...

NYOTA YANGA ATAJA SABABU ZITAKAZOIFANYA SIMBA IFUNGWE

0
 NYOTA wa zamani wa kikosi cha Yanga, Bakari Malima amesema kuwa ikiwa Simba watawadharau wapinzani wao Mei 8 watafungwa na kupoteza pointi tatu mazima.Simba...

ARSENAL YAINYOOSHA NEWCASTLE UNITED

0
WAKATI Arsenal ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United,  Uwanja wa St James Park, Mohamed Elneny alifunga bao lake la kwanza ndani ya Ligi...

HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII

0
 BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu,'Ninja' amesema kuwa anawatambua vizuri wapinzani wake Simba hivyo hana mashaka kuelekea kwenye mchezo wao ujao...

MAANDAMANO YA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED YAUMIZA POLISI

0
NGUVU ya mashabiki wa Klabu ya Manchester United ambao walikuwa wanapinga utawala wa familia ya Glazer wakitaka ujiondoe madarakani zimesababisha mchezo wa Ligi Kuu...

SUALA LA MORRISON KUKUTANA NA MABOSI WAKE WA ZAMANI BADO

0
 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anatambua ubora wa kiungo wake Bernard Morrison ila ataangalia namna ya kuweza kuanza naye kwenye mchezo...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII KWA SASA

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 upo namna hii kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

MABEKI WAWILI WENGINE TENA WAONGEZA MKATABA SIMBA, WAUNGANA NA KAPOMBE, TSHABALALA

0
 MABOSI wa Simba wameamua kuidhibiti mapema safu yao ya ulinzi hiyo ni baada ya kuwapa mikataba walinzi wake wengine wawili waliokuwa wakimaliza mikataba ambao ni Kennedy Juma na Erasto Nyoni tayari kwa kuivaa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS