FA Cup

ORODHA YA TIMU AMBAZO ZIMETINGA HATUA YA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

admin May 3, 2021 6:47 am


BAADA ya timu kusaka ushindi kwenye mechi zao za Kombe la Shirikisho ni timu nane zimepanya hatua ya robo fainali.

 Hizi hapa timu ambazo zimetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kushinda katika hatua ya 16 bora.

Rhino Rangers ya Tabora inashiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Biashara United ya Mara inashiriki Ligi Kuu Bara.

Azam FC ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara.

Mwadui FC ya Shinyanga inashiriki Ligi Kuu Bara.

Yanga ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara.

Dodoma Jiji ya Dodoma inashiriki Ligi Kuu Bara.

Simba ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara na ni mabingwa watetezi.

Namungo FC ya Lindi inashiriki Ligi Kuu Bara.

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII KWA SASA NYOTA YANGA ATAJA SABABU ZITAKAZOIFANYA SIMBA IFUNGWE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply