BREAKING:WAZIR JUNIOR AJIFUNGA MIAKA MIWILI YANGA
MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Mbao FC, Waziri Junior leo Agosti 2, ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Yanga.Junior amesaini dili la miaka miwili akiwa…
MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Mbao FC, Waziri Junior leo Agosti 2, ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Yanga.Junior amesaini dili la miaka miwili akiwa…
AYOUB Lyanga, kiungo mshambuliaji mwenye mabao nane na pasi nane alipokuwa ndani ya Coastal Union leo Agosti 2 amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu…
CLATOUS Chama nyota wa kikosi cha Simba leo amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Shirikisho. Simba imetwaa taji mbele ya Namungo FC…
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam.Simba imseshinda mbele ya…
Wazir Jr nyota wa kikosi cha Mbao FC anatajwa kumalizana na Klabu ya Yanga ambayo inapambana kuboresha kikosi chake kwa sasa. Junior ni kinara wa…
MSHAMBULIAJI Dickson Ambundo ambaye alikuwa anaichezea Gor Mahia ya Kenya ameingia kwenye rada za Yanga. Mabosi hao wameafikiana kwa pamoja kuwa wamalizane fasta na Ambundo…
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nelson Mandela: Simba 2-0 Namungo FC Dakika ya 38 Goal Bocco asisti LuisDakika ya 32 Bocco anapewa huduma ya Kwanza Dakika ya…
JUMA Abdul amekuwa bora ndani ya msimu wa 2019/20 ndani ya kikosi cha Yanga akiweza kuweka rekodi ya kuwa nyota kinara aliyecheza jumla ya mechi…
LEO Agosti 2, Uwanja Nelson Mandela tutashuhudiafainali ya kibabe ya Kombe la Shirikisho kati yaSimba dhidi ya Namungo ambao unasubiriwa kwa shaukukubwa na mashabiki.Mshindi wa…