Uncategorized

FA FAINALI: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC

admin August 2, 2020 12:47 pm

Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nelson Mandela: Simba 2-0 Namungo FC 
Dakika ya 38 Goal Bocco asisti Luis
Dakika ya 32 Bocco anapewa huduma ya Kwanza Dakika ya 27 Goooal, Luis
Dakika ya 25 Kahata anatoka anaingia Dilunga 
Dakika ya 23 Kahata anapewa huduma ya kwanzaFainali Kombe la Shirikisho
Dakika ya 19 Chama anapiga faulo inatua Kwenye kichwa cha Mkude unagonga mwambaDakika ya 17 Parkos wa Namungo anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 16 Bigirimama Blaise anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 mbele ya mabeki wanne ikiwa ni Fraga, Mkude
Dakika ya 14 Luis anapiga shuti linapaa angani

Dakika ya 13 kwa sasa

MSHAMBULIAJI WA GOR MAHIA NA YANGA MAMBO FRESH LUIS MIQUSSONE MCHEZAJI BORA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply