DUH! KOSI LA WATUKUTU LIGI KUU BARA, SIMBA YANGA ZAFUNIKA
LIGI Kuu Tanzania Bara, Julai 26 ilishuhudiwa mechi 10 za mwisho za kumalizia msimu wa 2019/20 huku vita ya ubingwa kazi ikiwa imeshaisha baada ya…
LIGI Kuu Tanzania Bara, Julai 26 ilishuhudiwa mechi 10 za mwisho za kumalizia msimu wa 2019/20 huku vita ya ubingwa kazi ikiwa imeshaisha baada ya…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Rayon Sports, Michael Sarpong, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiria viongozi wa Simba wamtumie tiketi ili aweze kutua kusaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo. Sarpong, raia…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba ambao ni mabingwa mara tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2017/18,2018/19 na 2019/20 amesema kuwa suala la yeye…
LUC Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa yeye sio mbaguzi ingekuwa hivyo asingeweza kufanya kazi ndani ya bara la Afrika kwa miaka mingi.Leo,…
BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa, anatarajiwa kuwepo kwenye sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo FC katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho, maarufu kama FA. Wawa, Julai…
FELIX Miziro, Kocha Mkuu wa Mbao FC amesema kuwa afe kipa afe beki lazima timu yake ipambane kupata matokeo chanya mbele ya Ihefu kwenye mchezo…
BAADA ya Yanga kutoa taarifa za kuachana na Luc Eymael kwenye nafasi ya benchi la ufundi, aliyekuwa Kocha Mkuu wa zamani wa timu hiyo, Mwinyi…
LUC Eymael raia wa Ubelgiji,aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa Nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa nguzo imara ambazo…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameanza safari kuelekea Sumbawanga kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho unaoatarajiwa kuchezwa Agosti…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa litapeleka ripoti ya Kocha Mkuu wa Yanga FIFA