admin
JULAI 8 SIMBA KUPEWA ZAWADI YAO YA KOMBE LA LIGI KUU...
SHEREHE za ubingwa wa Klabu ya Simba kufanyika Julai 8 ambapo Simba itakuwa na mchezo dhidi ya Namungo. Mara baada ya mchezo huo Simba watakabidhiwa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC UWANJA WA...
Simba SC dhidi ya Azam FC, Uwanja Taifa, leo Julai Mosi majira ya saa 1:00 usiku hatua ya robo fainali:-1.Aishi Manula2.Shomari Kapombe3.Mohamed Hussein4.Kennedy Juma5.Pascal...
JESHI LA SIMBA KUIVAA AZAM FC LIMEPANGWA SIKU HII
KIKOSI cha Simba ambacho utakiona leo Jumatano kikipambana na Azam FC kwenye robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kilipangwa jana Jumanne asubuhi baada...
MBELGIJI WA YANGA HATA HAMUELEWWI KWA SASA BERNARD MORRISON
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, amesema kuwa haelewi kilichompata mchezaji wake Bernard Morrison kwani amekuwa akifanya mambo ambayo si ya...
DStv YAJA NA DATE MY FAMILY, KESHO JULAI 2 KINAANZA RASMI
Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wasanii na wadau wa Sanaa wakati wa uzinduzi wa...
BUKAYO SAKA AONGEZA DILI REFU NDANI YA ARSENAL
BUKAYO Saka, nyota wa timu ya Arsenal amesema kuwa anafurahi kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo kwa kuwa ni nyumbani na anapenda kuendelea kubaki...
MASHINE HII HAPA YA KAZI NDANI YA SIMBA KUIBUKIA TAIFA LEO,...
JONAS Mkude, kiungo mkabaji wa Simba leo yupo fiti kuvaana na Azam FC kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku.Mchezo...
HAWA HAPA MAPILATO WA LEO KWENYE MCHEZO WA ROBO FAINALI KATI...
MECHI ya leo Uwanja wa Taifa kati ya Azam FC na Simba hawa hapa waamuzi watakaosimamia sheria 17 za mchezo
AZAM FC YAPANIA KUFANYA KWELI MBELE YA SIMBA LEO TAIFA
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wamesema kuwa hakuna namna yoyote ile itakayowazuia kulitwaa taji hilo kwa kuwa wamejipanga kuweza kufikia malengo...
FERNANDES ATAKATA UNITED IKIICHAPA MABAO 3-0 BRIGHTON
BRUNO Fernandes, amezidi kutakaka ndani ya kikosi cha Manchester United baada ya jana kutupia mabao mawili mwenyewe kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya...