BALAA LA DAVID MOLINGA NDANI YA LIGI LIPO NAMNA HII
DAVID Molinga ni mshambuliaji ambaye amekuwa na balaa ndani ya uwanja licha ya wengi kuamini kwamba ni mzito akiwa uwanjani kutokana na kudaiwa kuwa ameongezeka…
DAVID Molinga ni mshambuliaji ambaye amekuwa na balaa ndani ya uwanja licha ya wengi kuamini kwamba ni mzito akiwa uwanjani kutokana na kudaiwa kuwa ameongezeka…
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amesema hali yake bado ni mbaya na kuwaomba mashabiki wake waendelee kumuombea ili afya yake iimarike. Mkude aliumia juzi jioni…
SVEN Vandebroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado kwa sasa ni ngumu kuzungumza hali ya kiungo wake Jonas Mkude ambaye aliumia Juni 8, Uwanja…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa ataacha kazi yake ndani ya klabu hiyo siku Yanga itakapochukua ubingwa.Manara amesema kuwa kikosi chao…
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amepanga kumtumia jumlajumla kiungo wake Paul Pogba sambamba na Bruno Fernandes kiungo mpya ambaye aliletwa ndani ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo ametua nchini Tanzania akitokea nchini Ubelgiji alikokuwa kwa ajili ya mapumziko ya lazima yaliyotokana na Virusi vya Corona.Eymael…
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, usikose kupata nakala yako kwa jero tu, nafasi ya kushinda ndiga ni yako