MBAYA WA METACHA MNATA AKUBALI KUSAINI YANGA
BIGIRIMANA Blaise, mshambuliaji namba mbili ndani ya Namungo FC amesema kuwa anaweza kusaini Yanga iwapo utaratibu wa usajili utafuatwa. Imekuwa ikielezwa kuwa miongoni mwa wachezaji…
BIGIRIMANA Blaise, mshambuliaji namba mbili ndani ya Namungo FC amesema kuwa anaweza kusaini Yanga iwapo utaratibu wa usajili utafuatwa. Imekuwa ikielezwa kuwa miongoni mwa wachezaji…
KASSIM Khamis, mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam…
JOHN Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa masuala ya michezo ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara ni ruksa…
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo kwa sasa.Imekuwa ikielezwa kuwa miongoni mwa nyota…
ATUPELE Green, mshambuliaji wa Bashara United amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya kuona ligi ikirejea kutokana na maandalizi ambayo anayafanya.Ligi Kuu Tanzania Bara ilisimamishwa…
MIRAJI Athuman ‘Sheva’ ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ‘super sub’ wa Simba msimu huu akiwa ameshikilia mabao ya Meddie Kagere amesema kuwa yupo fiti. Sheva…
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga, alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa ameshaifungia timu hiyo mabao…
ULIMWENGU Jules, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga.Habari zinaeleza kuwa mpango mkubwa wa mabosi hao…
MABOSI wa Simba wameweka wazi kwamba licha ya kuwa na majina ya wachezaji ambao wanawahitaji katika msimu ujao lakini kwa sasa wameyaweka pembeni na kutojishughulisha…
RAMADHAN Singano, ‘Messi’ nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe amesema kuwa janga la Corona limetibua shangwe za ubingwa ambao wameutwaa hivi karibuni.Mazembe ilitangazwa…