DILI LA BEKI NKANA KUTUA NDANI YA YANGA LIMEVURUGWA NA MAZAWA HUYU
DILI la beki wa kati wa Nkana Rangers raia wa nchini Kenya, Mussa Mohammed huenda lisikamilike kutua Yanga, ni baada ya timu hiyo kuwa njiani…
DILI la beki wa kati wa Nkana Rangers raia wa nchini Kenya, Mussa Mohammed huenda lisikamilike kutua Yanga, ni baada ya timu hiyo kuwa njiani…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo ameibuka na kusema anatamani kuona anarejea kuchezea timu kubwa tena nchini ikiwemo Yanga kwani lengo lake ni…
DONALD Ngoma, mshambuliaji wa Azam FC ngoma ni nzito ndani ya kikosi hicho msimu huu kutokana na kushindwa kufurukuta kikosi cha kwanza huku akipotezwa na…
ZLATAN Ibrahimovic staa anayekipiga ndani ya Klabu ya AC Milan amewekwa kwenye rada na Klabu ya Hammarby ya nchini Sweden ambayo inataka kumpata akimalizana na…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, mashine tano zakubali kutua Simba
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba ni miongoni mwa wazawa wenye vipaji ambao kwa sasa inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua…
HERITIER Makambo nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Horoya FC anatajwa kurejea ndani ya Klabu hiyo msimu ujao.Makambo alidumu Yanga msimu…
WANDA Nara mke wa mshambuliaji wa Paris Saint -Germain (PSG) anayecheza huko kwa mkopo akitokea Inter Milan amechochea moto wa nyota huyo kusepa ndani ya…
ISHU ya TAKUKURU kueleza kuwa wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya bilioni moja iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya…
KESHO ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa