YANGA WACHEKELEA SAPOTI YA MDHAMINI KUMWAGA MKWANJA
JUMA Abdul nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mdhamini wao GSM amewaongezea nguvu ya kufanya mazoezi wakiwa nyumbani kutokana na kupewa fursa ya kufanya manunuzi…
JUMA Abdul nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mdhamini wao GSM amewaongezea nguvu ya kufanya mazoezi wakiwa nyumbani kutokana na kupewa fursa ya kufanya manunuzi…
FEISAL Salum nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona na kufanya mazoezi binafsi ili…
KIUNGO Thomas Partey raia wa Ghana yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya timu ya Arsenal.Nyota huyo raia wa Ghana amekuwa akihusishwa kutua ndani ya…
1.Ramadhan Kabwili anakipiga Yanga 2. Haruna Shamte yupo zake Simba3. Gardiel Michael maisha yake ni ndani ya Simba4.Yusuf Mlipili yupo Simba 5. Abdallah Sebo ndani ya…
NEEMA imewaangukia Yanga baada ya meneja wa kiungo, Yidah Sven anayekipiga katika Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya, kukubali kumuachia mchezaji huyo kama Yanga itawasilisha ofa…
IBRAHIM Ame, beki anayekipiga ndani ya Coastal Union naye ameunganishwa kwenye jalada la Bakari Mwamnyeto ambaye inaelezwa anawindwa na Simba.Ligi ikiwa imesimama kwa sasa kutokana…
ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Highlands Parks amewashukuru watazania wote ambao wamemtakia kheri kwenye siku yake ya…
HASSAN Zidadu, Mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa mkataba wa nyota wao Relliants Lusajo unameguka hivi karibuni ila wameanza mazungumzo naye.Lusajo ambaye ni nahodha…
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa amesema ameamua kuiheshimu klabu yake kwa kutorejea kwao Zambia vinginevyo angeonekana mtovu wa nidhamu. Chirwa raia wa Zambia mwenye…