admin
SUALA LA TSHISHIMBI KUIBUKIA SIMBA, YANGA YATOA TAMKO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa suala la mchezaji wao Papy Tshishimbi kusepa ndani ya timu hiyo muda utaongea na atafurahia maisha akiwa ndani ya...
NYOTA WA CHELSEA APEWA RUHUSA KUIONA FAMILIA YAKE
TIMU ya Chelsea imekubali kumpa ruhusa nyota wake Willian Borges Da Silva kurejea kuiona familia yake.Winga huyo raia wa Brazil aliomba ruhusa ya kurejea...
AKILI ZA HARUNA NIYONZIMA NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
KESHO ndani ya CHAMPIONI Ijumaa ni kiungo mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ameanza kuandika makala yake mwenyewe pamoja na ishu nyingine zote muhimu. Pia ukipata...
SAFARI YA MWISHO YA ALIYEKUWA OFIA HABARI WA SIMBA ASHA MUHAJI...
VerifiedSAFARI ya mwisho ya aliyewahi kuwa Ofisa Habari wa Simba Asha Muhaji ambaye alikuwa mwandishi mwandamizi imehitimishwa leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu yaliyopo...
KANE:NIPO FITI NITAREJEA UWANJANI HIVI KARIBUNI
HARRY Kane amesema kuwa anaamini yupo fiti kwa sasa kurejea uwanjani iwapo Ligi Kuu England itarejea.Kane anayekipiga Klabu ya Tottenham alikuwa nje Kwa muda...
NCHIMBI NYOTA WA YANGA ASEPA DAR MAZIMA NA KUIBUKIA KIJIJINI KUENDELEA...
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kutokana na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ameamua kusepa ndani ya Dar es Salaam na kuibukia...
ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA, JAKSON MAYANJA AWAPA MAJUKUMU WACHEZAJI WAKE
JAKSON Mayanja, aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC, Kagera Sugar, Coastal Union na Simba amesema kuwa kutokaana na kusambaa kwa Virusi vya Corona amewataka wachezaji...
WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP KULA CHIPSI YAI
DAKTARI wa Yanga, Sheikh Mngazija, amewapangia wachezaji hao vyakula maalumu na kuwapiga stop wachezaji hao kula vyakula visivyoeleweka.Agizo hilo limetolewa na daktari huyo kutokana...