KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA
ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona.…
ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona.…
KIUNGO mtengeneza mipango ndani ya Klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne amesema kuwa amekuwa balozi mzuri kwa sasa kwenye familia yake kuhusu kujilinda na…
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji ndani ya Simba amesema kuwa wakati huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona amekuwa akichukua…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa ishu ya mkataba wa mshambuliaji wao Donald Ngoma ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia wa…
JONAS Mkude iwapo mambo yatakuwa sawa huenda msimu ujao akasepa ndani ya Simba na kwenda kukipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe ya Congo.Huyu atakuwa…
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli ambaye saini yake inaelezwa inawindwa na mabosi wake wa zamani Yanga amewaaga mabosi wake wa Lipuli rasmi ili asepe msimu…
KIUNGO mzawa anayekipiga ndani ya Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa bado anavuta pumzi ya kurejea Dar es Salaam rasmi akiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa maombi yake makubwa ni kuona kwamba Virusi vya Corona vinaiachia dunia iendelee na shughuli zake ili arejee kazini…