admin
BARCELONA, REAL MADRID JINO KWA JINO KWA TRAORE
KLABU ya Barcelona ipo kwenye mchakato wa kuinasa saini ya nyota wa Wolves, Adama Traore, ambaye alitua kikosini hapo mwaka 2013 akitokea timu ya...
VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA
Ruvu Shooting 0-1 YangaUwanja wa UhuruDavid Molinga GooolMchezo wa Ligi Kuu Uwanja wa Uhuru kati ya Ruvu Shooting na Yanga ni kipindi cha pili,...
BREAKING: UCHEBE KURUDI BONGO TENA, AZUNGUMZA KUHUSU SIMBA
PATRICK Aussems aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na kupigwa chini mwishoni mwa mwaka Jana,2019 amesema kuwa anaamini siku moja ataonana na mashabiki wake wa...
HUU HAPA USHAURI WA SALEH JEMBE KWENDA SIMBA, YANGA YATAJWA
KUTOKANA na kichapo cha bao 1-0 walichopokea Simba mbele ya JKT Tanzania jana, Februari 7,2020 kupokelewa kwa mtindo wa kipekee kwa mashabiki na viongozi.Huu...
SIMBA ILIBANWA MBAVU UHURU KWA MTINDO HUU
KIKOSI cha Simba Jana kimebanwa mbavu Uwanja wa Uhuru mbele ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 mchezo wa Kwanza wa mzunguko wa pili...
SINGIDA UNITED WAPATA PAKUTOKEA
SINGIDA United iliyo chini ya Ramadhan Nswanzurimo imesema kuwa njia ya kuwabakiza kwenye ligi msimu ujao ipo mikononi mwa Mwadui hivyo lazima wapambane kupata...
RUVU SHOOTING YATAJA IDADI YA MABAO WATAKAYOIFUNGA YANGA LEO
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa haukufurahishwa na bao moja walilowafunga Yanga kwenye mechi yao ya kwanza, leo watafurahi wakiwafunga zaidi ya mabao matatu.Ruvu...
MAMBO NI MAGUMU SASA NDANI YA SIMBA, MBELIGIJI ATOA LA MOYONI
MAMBO ni magumu ndani ya Simba kwa sasa baada ya kichapo cha bao 1-0 balaa zito limeibuka kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara...
BAADA YA KICHAPO, MBELGIJI SIMBA AONDOKE TU, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi