admin
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA LIPULI
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Lipuli, Uwanja wa Samora, Iringa
MZUNGU: HAKIKA FALCAO NI MASHINE NYINGINE
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa David Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi...
MORRISON AAHIDI CHA KUFANYA KAMA ASIPOFUNGA BAO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mghana Bernard Morrison, ameahidi kuhakikisha anafunga mabao kwenye kila mechi na akishindwa basi atatoa pasi ya bao ili timu hiyo...
KIUNGO YANGA AMVURUGA MAKAPU
KUTOKANA na kiwango kikubwa ambacho amekionyesha kiungo mkabaji na nahodha Mkongomani Papy Tshishimbi, Kocha Mkuu wa Yanga Mbelgiji Luc Eymael amemhakikishia nafasi ya kudumu...
POGBA ATANGAZA MUDA WA KUONDOKA MAN UNITED
Paul Pogba anataka kuondoka Man United mwisho wa msimu huu lakini fursa ya mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26 kuweza kuondoka...
SIMBA YAITUPA MBALI YANGA UBORA WA SOKA AFRIKA
Ubora wa nafasi za klabu hapa Afrika1. Esperance de Tunis πΉπ³2. Wydad AC π²π¦3. TP Mazembe π¨π©4. Al Ahly πͺπ¬5. Mamelody Sundowns πΏπ¦6. Etoile...
MANCHESTER CITY YAFUNGIWA MIAKA MIWILI KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA
TIMU ya Manchester City imefungiwa miaka miwili kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa UEFA na Shirikisho la Soka Barani Ulaya.Hatua hiyo imekuja kutokana na...
HESABU ZA MZUNGU WA SIMBA KWA LIPULI LEO HIZI HAPA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupambana na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Samora ,Iringa dhidi...
PRISONS WAPANIA KULIPA KISASI KWA YANGA LEO TAIFA
ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, amesema kuwa leo watapambana mbele ya Yanga ili kulipa kisasi cha kuondolewa kwenye reli ndani ya Ligi...
MHILU ATUMA UJUMBE HUU WA KWA MEDDIE KAGERE
YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar amehusika kwenye mabao 9 kati ya 28, akifunga saba na kutoa pasi mbili...