HAPA NDIPO YANGA ILIPOIPOTEZA SIMBA JUMLAJUMLA
KWENYE misimu 11 ya hivi karibuni ambapo Yanga na Simba wamekutana Yanga inashikilia rekodi ya kupindua meza kibabe. mechi 23 walizokutana Yanga imeshinda mechi sita,…
KWENYE misimu 11 ya hivi karibuni ambapo Yanga na Simba wamekutana Yanga inashikilia rekodi ya kupindua meza kibabe. mechi 23 walizokutana Yanga imeshinda mechi sita,…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa inahitaji umakini mkubwa kwa Yanga kuizuia Simba kutwaa ubingwa kutokana na kasi waliyonayo kwa sasa. Thiery…
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa kesho, Machi 8 dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Taifa kutokana na mipango waliyojiwekea…
AZAM FC, iliyo chini ya Arstica Ciaoba, leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja…
HARRY Kane nyota wa timu ya Spurs inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kusepa ndani ya klabu hiyo kwenye majira ya joto.Mabosi wa timu hiyo…
BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020 Uwanja wa…
KESHO Machi 8 2020, Uwanja wa Taifa,Simba itakuwa ugenini ikicheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Simba ipo chini ya Mbelgiji Sven…
IMEELEZWA kuwa kuna nafasi kubwa ya nyota wa Yanga Farouk Shikalo kukaa langoni kwa mara ya pili kuokoa micho ya washambuliaji wa Simba wakiongozwa na…
NA SALEH ALLY WAPENDA soka lazima watakwenda Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakiwa na mambo mengi kichwani tayari kuishuhudia mechi ya watani wa…
Na Saleh Ally GUMZO la Dabi ya Kariakoo limerejea tena, kila mmoja anajua anachokiamini na anazungumza anachoona ndio sahihi. Nani atashinda? Ni suala lenye maswali…