admin
MTANGAZAJI NGULI NCHINI AMUONDOA SAMATTA KIKOSINI ASTON VILLA – VIDEO
Usajili wa Samatta bado ni gumzo Tanzania na hata nje ya mipaka ya Bara la Afrika kwani amevunja mwiko kwa Watanzania kutocheza Ligi Kuu...
KICHUYA KUANZA KAZI RASMI LEO
KIKOSI cha Simba, leo Jumamosi kitashuka uwanjani kupambana na Mwadui FC katika mchezo wa Kombe la FA utakaochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar...
BAADA YA KELELE KUZIDI DHIDI YAKE, MOLINGA AAMUA KUTOA TAMKO LA...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, David Molinga, amesema kuwa kazi ndiyo kwanza imeanza Yanga, hivyo mashabiki wa timu hiyo wasiwe na hofu mambo mazuri...
WAWILI WAONDOKA YANGA
WACHEZAJI wa Yanga mshambuliaji mpya Ditram Nchimbi na kiungo fundi Feisal Salum ‘Fei Toto’ wiki iliyopita waliondolewa usiku kwenye kambi ya timu hiyo wakakwea...
KOCHA YANGA AIBUKA NA AHADI TAMU
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa kutokana na jinsi kikosi hicho kinavyofanikiwa kupata nafasi nyingi za kufunga mabao, ana...
KOCHA SIMBA AAHIDI MSIBA KWA MWADUI, KAZI IPO LEO
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vanderboeck ametamba kwamba atawashushia kipigo wapinzani wake Mwadui FC ambao anacheza nao leo Jumamosi kwa kuwa tayari ameshalijua...
HARMONIZE MATATANI TENA, DIAMOND ATAJWA
AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo. Dishi la Risasi Mchanganyiko limenasa skendo...
RIO AKIWASHA, AIPONDA MAN UNITED
MASHABIKI wa Manchester United, juzi waliondoka karibia wote uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Burnley.Wakiwa kwenye Dimba la Old Trafford,...
BAKARI SHIME AAHIDI FURAHA KILIMANJARO QUEENS
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya wasichana wa U17, Kilimanjaro Queens, Bakari Shime amesema kuwa watawafunga Burundi kwa mabao mengi katika...
VURUGU MECHI LA KMC NA LIPULI LIMEFIKIA HAPA, SABABU YA KUSAJILIWA...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya timu ya KMC, ambaye pia ni Meya wa Wilaya ya Kinondoni, Samweli Sitta amesema kuwa walimuajiri Haruna...