admin
NAMUNGO WAIPIGIA HESABU NDEFU MBAO FC
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa unarejea kwenye uwanja wao wa nyumbani, Majaliwa maarufu kuiandalia dozi Mbao FC kwenye mchezo wao wa...
AUSSEMS APOTEZWA SIMBA
Sven Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa na idadi kubwa...
MAYWEATHER KUPAMBANA TENA NA MCGREGOR NA KHABIB
BONDIA Floyd Mayweather ameibuka na kuthibitisha kwamba atapambana na Conor McGregor na Khabib Nurmagomedov katika pambano la kurejeana mwaka huu.Nguli huyo wa ndondi kutoka...
ISHU YA KOCHA YANGA KUPEWA ONYO KISA UBAGUZI, UONGOZI YANGA WATOA...
Baada ya Kocha wao Mkuu, Luc Aymael, kupewa onyo kutokana na kauli ya kusema alifanyiwa ubaguzi, uongozi wa klabu hiyo umesema hauna namna ya...
KIPA SIMBA ATAJWA KUFANYA MAAJABU POLISI
Baada ya kumsajili katika dirisha dogo la usajili, uongozi wa Polisi Tanzania umesema, unaamini golikipa aliyewahi kuichezea Simba, Peter Manyika ataisaidia timu yao kufanya...
MAAMUZI YOTE YA UONGOZI WA MSOLLA YATAJWA KUWA MABAYA ZAIDI –...
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Yanga tangu kuanza kwa msimu huu ni mabaya.Zahera ameeleza kuwa maamuzi...
MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO
Baada ya Samatta kusajiliwa Rasmi na Aston Villa, Samatta ambae ni mgeni wa ligi kuu ya England yenye mashabiki wengi dunia atakutana na vikwazo...
WINGA MPYA SIMBA AANZA KAZI
Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa...
MCHEZAJI SIMBA ATUA LIPULI
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Mlinda Mlango, Deogratius MunishI ‘Dida’ ni miongoni mwa wachezaji wapya tisa waliojiunga na Lipuli FC...
YANGA YAJIPIGIA SINGIDA UNITED 3-1, EYMAEL ACHEKELEA USHINDI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo amesepa na pointi tatu muhimu kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Singida...