MZUNGU WA YANGA:HUYO MOLINGA MTAMUELEWA TU
Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi zake zote.…
Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi zake zote.…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kikosi chake kipo sawa na kinaendelea na maadalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara…
MWADUI FC, Mbeya City, Mbao FC na Singida United zinateswa na upepo mbaya wa kupambania nafasi zao za kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana…
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15, Uwanja wa Samora kuona watakachomfanya mnyama Simba bila mashaka. Lipuli inakumbukumbu ya kupoteza…
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa timu ya Yanga amesema kuwa ushindani wa Ligi Kuu Bara ni mkubwa nao wanapambana kufikia malengo waliyojiwekea.Abdul ni kinara wa…
Na Saleh Ally MATATIZO mengi huanza kutokea kwanza na baada ya hapo watu huanza kutafuta utatuzi wake, wakati ilikuwa inawezekana kupatikana kwa utatuzi hata kabla…
KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15 Uwanja wa Samora.Jana kilianza kufanya…
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15 Uwanja wa Uhuru kuona burudani kutoka kwa wachezaji wao…
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars amesema kuwa watatumia nafasi ya kualikwa kwenye mashindano ya Umoja wa Wanawake…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons hautakuwa mwepesi kutokana na ugumu wa timu ambayo watakutana nayo.Prisons itashuka Uwanja wa…