HAO AZAM FC WAIPANIA POLISI TANZANIA KESHO UHURU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho utapambana kuzipata pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Azam ina…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho utapambana kuzipata pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Azam ina…
Uongozi wa Kagera Sugar FC umetuma salamu za pole kwa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Nizar Khalfan kutokana na kufiwa na…
UONGOZI wa Azam FC, umempa zigo kubwa mshambuliaji wao namba moja , Obrey Chirwa kuiongoza timu yake kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu…
IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.Habari zinaeleza…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kesho watakuwa na kazi ya kumenyana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Gairo,…
SINGIDA United imeanza kwa kuangukia pua tena mzunguko wa pili kwa kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na Mwadui FC ya Shinyanga. Sare hiyo inaifanya…
MSHAMBULIAJI wa timu ya KMC ya Dar es Salaam, Sadallah Lipangile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara…
Verified KOCHA wa timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, Aristica Cioaba amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom…
LUC Eymael amesema kuwa kazi kubwa aliyompa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi ni kutengeneza nafasi za mabao kwa mshambuliaji mwenzake David Molinga akishindwa basi inabidi afunge…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kichapo kwa Simba ni halali yao kwani wanawatambua vema hivyo hawatawasumbua kwenye mchezo wao wa kesho…