REKODI ZA KOCHA MKUU WA AZAM CIOABA ZIPO NAMNA HII
HIZI hapa rekodi za Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba ndani ya mwezi Januari
HIZI hapa rekodi za Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba ndani ya mwezi Januari
MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.Mpepo na Kitandu ambao ni raia wa…
LIGI Kuu Tanzania Bara bado inazidi kukata mbunga ambapo kwa sasa mzunguko wa pili unakaribia kumeguka kabla ya mzunguko wa pili kuanza.Ndani ya mzunguko wa…
IKWIRIRI yenye maskani yake Kibaha, mkoan Pwani ilikuwa timu yake ya kwanza kuanza kuichezea kwenye maisha yake ya soka na sasa amekuwa mchezaji anayekimbiza mafanikio…
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ushindani wa msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara ni mkubwa jambo ambalo linafanya kila timu…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa atawajenga wachezaji wake kuwa katika hali ya kujiamini kwa muda atakaokuwa nao mazoezini na ana imani watamuelewa…
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kuzisaka pointi tatu leo mbele ya Polisi Tanzania.Simba itamenyana na Polisi Tanzania, Uwanja…
AZAM FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba, mwezi Januari,2020 imeweka rekodi ya kucheza mechi tano bila kupoteza mchezo .Kwenye mechi tano ilizocheza sawa…
PARIS Saint-Germain (PSG) itamkosa mshambuliaji wake raia wa Brazil, Neymar Jr kwenye mchezo wa Ligue 1 utakaochezwa leo dhidi ya Nantes kutokana na majeruhi.Neymar alicheza…
MCHEZO wa leo wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Coastal Union uliopaswa uchezwe kwenye Uwanja wa Isahmuyo majira ya saa 10:00…