SOMO LA KATUMBI KWA MO DEWJI JUU YA UWEKEZAJI
Mwenyekiti wa Klabu ta TP Mazembe ya DR Congo, Moses Katumbi, ameibuka na kumfunda Bilionea mwenzake, Mohamed Dewji ‘Mo’ ili ajue miko ya kuwa mwekezaji…
Mwenyekiti wa Klabu ta TP Mazembe ya DR Congo, Moses Katumbi, ameibuka na kumfunda Bilionea mwenzake, Mohamed Dewji ‘Mo’ ili ajue miko ya kuwa mwekezaji…
Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa hajui hatima yake ndani ya klabu hiyo mara baada ya ujio wa kocha mpya Mbelgiji,…
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 juzi dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, hiki…
Kiungo mkabaji wa zamani wa Simba, James Kotei, amethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika…
Nahodha na mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amesema kuwa haikuwa bahati yao kulichukua Kombe la Mapinduzi huku akiwataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwaunga…
UONGOZI wa Mbao FC umefanikiwa kusajili wachezaji sita katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo lililofungwa juzi usiku. Akizungumza jana, Mwenyekiti wa timu hiyo,…
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta amefikia makubaliano na klabu ya Aston Villa ya England. Samatta anatarajia kujiunga na Aston Villa ambayo inashiriki Ligi Kuu…
Klabu ya Aston Villa ya England, imekubaliana kila kitu na mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta. Samatta ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania…
HASSAN Dilunga ‘HD’ alianza kupeleka maumivu kwa wapinzani wao leo Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba kwa kufunga…
HIKI ndicho kikosi cha Simba leo kilichoanza dhidi ya Mbao FC, Uwanja wa CCM Kirumba, Januari 16