MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA
Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13,…
Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13,…
Klabu ya Juventus ambayo imekuwa ikifanya usajili wa kufuru kwa miezi ya hivi karibuni, inajiandaa kumsajili kipa wa Manchester United, David de Gea.De Gea amekuwa…
ABDALAH Panzi ‘Dulla Mbabe’ bingwa wa ubingwa wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBO) Asia Pacific uzito wa kati (Super Middle) ambao aliupata hivi…
Ujumbe alioandika Mbwana Samatta kupitia ukurasa wake wa Twitter juu ya Taifa Stars.
Baada Ijumaa kukusanya Sh. mil 10.8 kwenye harambee ya kuichangia Yanga iliyofanyika jijini hapa sasa inakuja na kishindo kingine cha udhamini ambao utatikisa na kurejesha…
Mbelgiji hataki ujinga hii ni baada ya kumfungia kazi straika wake mahiri, Ibrahim Ajibu kwa kuhakikisha anafanya mazoezi kwa ufasaha zaidi huku kocha Adel Zrane…
UONGOZI wa Mbeya City umesema kuwa umejipanga kufanya makubwa msimu huu kutokana na ushindani uliopo ndani ya ligi. Mbeya City ilikuwa na mchezo Septemba 18…
Tetemeko kubwa la ardhi limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9:30 (usiku wa kuamkia leo) mkoani Katavi na kuyakumba baadhi ya maeneo mkoani…
Barcelona wanaandaa mkataba mpya wa mshambuliaji Lionel Messi, 32, ambao utambakisha nyota huyo Camp Nou kwa miaka iliyosalia ya maisha yake ya soka. (Mundo Deportivo…
Shirikisho la Soka Tanzania kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City.