Home Uncategorized MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA Uncategorized MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA By admin - September 9, 2019 0 Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13, 2019 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam