NINJA WA YANGA SASA AWA WA KIMATAIFA, USO KWA USO NA IBRAHIMOVIC
ABDALAH Shaibu ‘Ninja’ amejiunga na klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani Kwa kandarasi ya miaka mitatu.Nyota huyo amejiunga na klabu hiyo akitokea…
ABDALAH Shaibu ‘Ninja’ amejiunga na klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani Kwa kandarasi ya miaka mitatu.Nyota huyo amejiunga na klabu hiyo akitokea…
KIKOSI cha Simba kilichokwea pipa leo kuwafuata wapinzani wao UD do Songo nchini Msumbiji leo mchezo utakaochezwa kesho Msumbiji hiki hapa:-Beno KakolanyaGadiel MichaelShomari KapombeErasto NyoniPascal…
BAADA ya Jana Yanga kukamilisha ratiba ya michezo yake miwili visiwani Zanzibar leo wanatarajia kurejea Bongo.Kwenye kambi ndogo visiwani Zanzibar ilicheza mechi mbili ambazo ni…
ARSENAL imekamilisha dili la kuzipata saini za mabeki wawili dakika za usiku kabla ya dirisha la usajili kwa timu za Premier League kupigwa pini. David Luiz…
EVERTON imethibitisha kuinasa saini ya mshambuliaji wa kikosi cha Arsenal, Alex Iwobi.Nyota huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Nigeria amesaini kandarasi ya miaka mitano.Iwobi akiwa…
ENEKIA Kasonga,beki kisiki wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ ameweka rekodi tamu kwenye michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini.Tanzania…
KUEPUKA kufanyiwa hujuma na wapinzani wao Yanga, kikosi cha Township Rollers, jana kilitua jijini Dar es Salaam kikiwa na vinywaji vyao ikiwemo maji na juisi.…
ROMELU Lukaku nyota mpya wa Inter Milan amewaambia mashabiki na viongozi wa timu yake ya zamani Manchester United kuwa wanastahili shukrani.Lukaku amekamilisha dili ya kujiunga…
PATRICK Sibomana, mshambuliaji mpya wa Yanga ameamua kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa kesho dhidi ya Townshipp Rollers.Muda mfupi kabla ya kuwavaa wababe hao…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa ni lazima madai ya wachezaji wanaoidai timu hiyo yafanyiwe kazi kabla ya kurejeshwa ndani ya kikosi hicho.Juma Abdul pamoja na…