SPORTIPESA SIMBA WIKI YAENDELEA LEO NAMNA HII
KLABU ya Simba leo imetembelea hospital ya Ocean Road na kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kuwapa mahitaji maalumu.Huu ni mwendelezo wa Simba kuelekea SportPesa Simba…
KLABU ya Simba leo imetembelea hospital ya Ocean Road na kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kuwapa mahitaji maalumu.Huu ni mwendelezo wa Simba kuelekea SportPesa Simba…
UONGOZI wa klabu ya KRC Genk umeamua kuongeza tena dau kwa timu zinazomtaka mshambuliaji wake, Mtanzania Mbwana Samatta kutoka shilingi bilioni 40 hadi kufikia bilioni…
SHIZA Kichuya ameweka wazi kwamba baada ya muda wake kumalizika ndani ya klabu ya ENNPI ya Misri kwa sasa anatamani kuondoka nchini humo huku akiwa…
IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.Kwa sasa nafasi ya Ofisa Habari ni…
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amethibitisha kuwa ameliondoa jina la kipa wake, Klaus Kindoki katika usajili wao na kumpeleka kwa mkopo Lupopo FC ya…
MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.Licha ya baridi kali ya mkoani Njombe, haikuweza kuwazuia…
KIKOSI kazi cha Mbao FC msimu wa 2019/20 kipo namna hii:-
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kuelekea siku ya kilele cha Mwananchi Agosti 4 mambo yamekamilika kwa asilimia kubwa ni suala la mashabiki kujitokeza kwa wingi.Kesho…
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Paris Saint Germain (PSG), Kylian Mbappe amesema kuwa anataka kumuona mchezaji mwenzake Neymar Jr anabaki ndani ya kikosi hicho. Nyota huyo…
LIONEL Messi, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesimamishwa kutoshiriki michuano ya kimataifa Kwa muda wa miezi mitatu.Hatua hiyo imefikia baada ya Messi kusema…