admin
HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON
KOCHA wa timu ya Taifa, Emmanuel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.Tanzania ilishindwa kutinga...
ROSE MUHANDO MAJANGA TENA
LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji...
IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA
BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA
NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo...
HII NI NOMA SASA! SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA TISA WA MATAIFA...
KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka...
BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA
Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.Niyonzima amewaaga...
BAADA YA KUMALIZANA NA SIMBA, KAHATA ATOA TAMKO
Baada ya kumalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo wa zamani wa Gor Mahia FC, Francis Kahata, amefunguka kuhusiana na Meddie...
ZANA BADO YUPO SIMBA, UWEZO WAKE WAMKOSHA MBELGIJI, ISHU YA MKATABA...
Kama utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa anakamilisha mazungumzo na mabosi...
MSUVA NA SAMATTA WATUMA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA
NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Star, Mbwana Samatta na mchezaji mwenzake, Simon Msuva, kupitia kurasa zao za Instagram, wameandika ujumbe kuwaomba Watanzania radhi...