KUMEKUCHA SIMBA, MO AMALIZA UTATA MAZIMA
KAULI ya Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji leo imetoa ile hofu ya mashabiki kuhusu hatma yake ndani ya Simba.Baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni…
KAULI ya Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji leo imetoa ile hofu ya mashabiki kuhusu hatma yake ndani ya Simba.Baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, aliyetupia tatu dhidi ya Moro Academy , Patrick Sibomana, amewaambia mashabiki kwamba ndiyo zake wala hakubahatisha wazisubiri nyingi Uwanja wa Taifa.…
TOWNSHIP Rollers ni wapinzani wa Yanga kimataifa kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya mabingwa unaotarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 9-11 nchini Botswana na ule…
WAPINZANI wa Simba kwenye michuano ya Kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika klabu ya UD Songo, imeanzishwa mwaka 1982 na kampuni moja kubwa nchini Msumbiji…
PASCAL Wawa,beki wa Simba amesema hana hofu na nafasi yake ndani ya kikosi hicho, kazi ni kwake kupambana kisha kocha Aussems ndiyo ataamua ampange nani.…
BAO la Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere dakika ya 58 kwenye mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Township Rollers lilidumu kwa muda wa dakika 11…
JUMA Kaseja ametamba kuwazuia washambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya kwenye mechi ya kufuzu michuano ya CHAN itakayopigwa kesho, Julai 28 Uwanja wa Taifa,…
KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa magolikipa wake wote wapo vizuri kwa ajili ya msimu ujao.Manyika kwa sasa ana makipa watatu…
KESHO timu ya Taifa ya Tanzania ‘Tiafa Stars’ itakuwa kazini kumenyana na timu ya Kenya na tayari kambi imenoga na leo ni siku ya maoezi…
PAULO Dyabala mshambuliaji wa Juventus amewekewa kwenye hesabu na klabu ya Totthenham ambayo inataka kuipata saini ya nyota huyo raia wa Argentina.Juventus ipo tayari kumuachia…