USAJILI YANGA WAZUA HOFU SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya…
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya…
SIMBA ambayo ipo kambini nchini afrika Kusini ambapo inatajwa kambi hiyo ni ghrama kubwa, imetangaza kuwa itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu. Kumekuwa na maswali…
UONGOZI wa Global Publishers umewapongeza kwa kuwapa kitita cha fedha wanahabari wake, Imelda Mtema na Hillary Daudi, kwa kuonesha weledi wa kutogombea fedha wakati mwigizaji…
Kipa Mkongwe wa Tanzania na klabu mbalimbali vya Ligi kuu Tanzania Bara Juma Kaseja ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa mara ya pili…
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kikao chake kilichokaa Julai 17,2019 kimefanya marekebisho ya michezo ya kufuzu Fainali za…
Mchezaji wa zamani wa Simba Abdallah King Kibadeni, amesema kitendo cha Kocha Etienne Ndairagije kumuita Kipa Juma Kaseja kunako kikosi cha Taifa Stars ni maamuzi…
Timu ya Taifa ya Tanzania imeanzia hatua ya makundi ya kuwania kufuzu Fainali ya Mataifa ya Afrika mwaka 2021 itakayofanyika nchini Cameroon. Tanzania imepangwa kundi…
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kesho watapambana kuwakalisha wapinzani wao Manyema FC kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Kagame. Akizungumza…
TAYARI nyota wanne wa Simba ambao walikuwa wamekwama kukwea pipa na kujiunga na timu nchini Afrika Kusini wameshatia timu na leo wamefanya mazoezi na wachezaji…