ATLETICO YAPINGA BARCA KUMNYAKUA GRIEZMANN
ATLETICO Madrid imepinga kitendo cha Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kinyume cha sheria za usajili.Barcelona ilidai jana imemnyakua Griezmann baada ya kulipa pauni milioni 108 (Sh.…
ATLETICO Madrid imepinga kitendo cha Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kinyume cha sheria za usajili.Barcelona ilidai jana imemnyakua Griezmann baada ya kulipa pauni milioni 108 (Sh.…
KOCHA Mkuu wa Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa mchezo wa fainali hautakuwa mwepesi kutokana na timu zote kuwa vizuri. Senegal imetinga hatua ya fainali kwenye…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa ni kuona timu zote mbili zinakuwa na ushindani msimu ujao wa 2019-20. Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori…
Wakati Yanga wakianza mazoezi ya pamoja Jumatatu iliyopita kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie Kagere…
Amis Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.Yondani alipewa kitambaa cha unahodha…
KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa ameanza kazi na mlinda mlango Klaus Kindoki ambaye msimu uliopita mashabiki hawakumkubali kutokana na kufanya…
JOSE Mourinho kwa sasa anafikiria kurejea kwenye benchi la ufundi akiwa ni meneja endapo atapata timu sahihi. Mourinho mwenye miaka 56 amekuwa bila timu kwa…
Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani. Yondani alipewa kitambaa cha unahodha…
Hatimaye kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali umefunga ushahidi rasmi na mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi Julai 23, mwaka huu ili…
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi na…