HAPA NDIPO MAJALADA YA STARS YANAPOJICHANGANYA, BADO TUNA NAFASI
TUMEANZA vibaya michuano ya Afcon mwaka 2019 huku sera yetu ikituambia kwamba ni zamu yetu kufanya makubwa na kufikia malengo kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa…
TUMEANZA vibaya michuano ya Afcon mwaka 2019 huku sera yetu ikituambia kwamba ni zamu yetu kufanya makubwa na kufikia malengo kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa…
GANZI ambayo wanayo watanzania kwa sasa ni kuanza vibaya kwenye michuano ya Afcon hasa ukizingatia kwamba imepita miaka 39 bila timu yetu kushiriki. Hakuna wa…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji wa timu ya Simba, Meddie…
YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya…
HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki kisiki…
ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja nayo…
BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa leo Alhamisi dhidi ya Kenya.Taifa…
MARA baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea TP Mazembe, mshambuliaji Mtanzania, Eliud Ambokile amefunguka kuwa hiyo ni njia kwake ya kwenda kucheza…
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania…
BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili…