admin
BAADA YA KUPONDWA SANA…MWANYETO AANZA KUKIWASHA YANGA…NABI AFUNGUKA ALICHOMFANYIA…
Baada ya kusemwa kwa kushuka kiwango, beki Bakari Mwamnyeto wa Yanga ni kama amewaziba midomo waliokuwa wanambeza kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa...
KIMENUKA SIMBA…DEWJI ATANGAZA KUMTAMBUA MGUNDA KAMA KOCHA MKUU WA TIMU…
Wakati wingu zito likizidi kutanda kunako klabu ya Simba SC ikianziwa na hatima yao kunako michezo ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Bado...
PAMOJA NA KUANZA KWA VIPIGO…MKENYA AIPELEKA SIMBA ROBO FAINAL CAF…AGUNA KUHUSU...
Aliyekua Kocha Mkuu wa Klabu za Biashara United Mara na Kagera Sugar Francis Baraza, amesema Simba SC bado ina nafasi kubwa ya kutinga Hatua...
KUELEKEA MECHI NA REAL BAMAKO….NABI ATUMA SALAMU NZITO KWAO…YA MAZEMBE KUJIRUDIA…
Yanga iliilaza KMC 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu juzi jioni na usiku wake ikapaa kwa ndege kuanza safari ya kuwafuata wapinzani wao Real...
KOCHA VIPERS:- SIJAONA MCHEZAJI MWENYE MADHARA SIMBA…TUNAWAPIGA NNJE NDANI…
Kocha wa Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers Roberto Luiz Bianch Pelliser ameibeza Simba SC, kwa kusema hajaona mchezaji mwenye kipaji ambacho kitakua na...
BAADA YA MASHABIKI KUMSEMA SANA…BOCCO AVUNJA UKIMA SIMBA…AELEZA KILIO CHA WACHEZAJI...
Nahodha wa Simba, John Bocco amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kwa kushindwa kupata ushindi kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi...
MANARA: YANGA TUMEPOKEA OFA YA AL AHLY KUMTAKA NABI…KOCHA WA SIMBA...
Msemaji wa Yanga Haji Manara amemzodoa kimtindo kocha wa Simba baada ya kwenda kwa mashabiki kushangilia sare wakati timu yake iko nyuma kwa kila...
PAMOJA NA KUIFUNGA SIMBA KWA MKAPA…RAJA CASABLANCA WALIA KUFANYIWA HUJUMA…ISHU IKO...
Vinara wa Kundi C katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Raja Casablanca, wameingia majaribuni katika Michezo ya Michuano hiyo, baada ya kubaini...
ITUMIE MECHI YA MAN UTD vs BARC KUPIGA MIHELA YA MERIDIANBET...
Sehemu ni moja tu ya kubashiri halafu unashinda kirahisi kwenye usiku wa ulaya Utd vs Barca. Meridianbet wakali Odds kubwa na machaguo kibao na...
BAADA YA KUONA MASHABIKI WAKIMNYOSHEA VIDOLE SANA…MBRAZILI AVUNJA UKIMYA SIMBA…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema kutokana na hali ngumu waliyonayo katika Kundi C la michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika...