admin
KUHUSU UBINGWA WA MSIMU HUU…SIMBA WAISHUTUMU YANGA KWA PROPAGANDA …MORRISON ATAJWA…
Vita ya kuwania Taji la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2021/22, imeendelea kupamba moto kati ya Simba SC na Young Africans huku alama...
BAADA YA KUHISI PENGINE SIMBA WANAWEZA KUMUACHA KWELI…MORRISON AWAHI NA ...
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ameibuka na kuweka wazi matarajio yake baada ya mkataba wake na Klabu ya Simba SC kufikia kikomo...
KISA MAYELE KUKOSA PENATI JUZI….ALLY MAYAY ‘AIPA MAKAVU’ YANGA…KOCHA BARAZA YEYE...
PRESHA ya nyota wa Yanga, Fiston Mayele kutaka kufunga baada ya mechi tatu mfululizo bila bao kumetajwa kuichelewesha timu hiyo utangaza mapema ubingwa wa...
KISA MATOKEO YA SARE YANGA…ZAHERA NAYE KASHINDWA KUJIZUIA…AFUNGUKA KINACHOIMALIZA YANGA….
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kwamba timu hiyo bado ina nafasi kubwa ya kubeba ubingwa, lakini akatoa mbinu na angalizo kwa...
MAJABU YA TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU YAZIDI KUISHANGAZA DUNIA…WAALIKWA KUSHIRIKI...
Timu ya Taifa ya Tanzania kwa mpira wa mguu kwa walemavu Tembo Warriors, imepata mwaliko rasmi wa kushiriki mashindano ya Ulaya itakayofanyika nchini Poland.Mashindano...
THAMANI YA UWANJA WA MKAPA YAZIDI KUPAA AFRIKA…TIMU NYINGINE KUBWA YAOMBA...
Timu ya taifa ya Burundi 'The Swallows' watakuwa wenyeji wa Cameroon katika mchezo wa Kundi C wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa...
PABLO AFUNGUKA ‘ALIVYOWAFINYANGA’ KAGERA SUGAR KIMBINU…ADAI ILIKUWA NI NGUMU KWAKE…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwenye mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kipindi cha pili aliamua kwenda na mfumo tofauti kwa...
KIMENUKA YANGA HUKOO…NABI ‘ACHENJIWA’ KISA SURE BOY….MWENYEWE ADAI FEI TOTO NI...
BAADA ya mashabiki wa Yanga kuja juu kupinga mabadiliko ya kumtoa Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ na kuingia Heritier Makambo, Kocha Mkuu wa timu hiyo,...
YANGA WAPATA PIGO…SURE BOY ATUPWA NNJE….PABLO AZIDI KUIOMBEA MABAYA…SIMBA SC KAMA...
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Ijumaa.
UEFA YAMPANGA REFA MWENYE BAHATI NA MADRID KUCHEZESHA FAINAL YA LIVERPOOL...
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la soka barani ulaya UEFA imemteua muamuzi Clement Turpin (39) kuchezesha mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa barani...