admin
UANAAMBIWA KWA HAYA ANAYOPITIA MAYELE HUKO YANGA…MPAKA KAZE MWENYEWE ANASHANGAA…
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema anashangazwa na mashabiki wa soka wanaombeza straika wa timu hiyo, Fiston Mayele baada ya kushindwa kutetema katika...
DUH…HUYU TAJIRI MPYA WA CHELSEA NAYE ‘WALE WALE TU’…KUMBE NAYE ANAPESA...
TAJIRI ametua. Wiki iliyopita wakati mechi ya Chelsea na Wolves inaendelea, upande wa jukwaa la VIP, kamera zilikuwa zikimuonyesha bilionea ambaye yupo kwenye hatua...
ZA NDANIII KABISAA….KWENYE ORORDHA YA MASTAA WAPYA SIMBA..MPOLE NAYE YUMO…WENGINE HAWA...
SIMBA usiku wa juzi ilikuwa uwanjani kumalizana na Ruvu Shooting, huku mabosi wake wakianza hesabu mpya kwa ajili ya msimu ujao, ikiwaweka kwenye rada...
BAADA YA YANGA KUMALIZA NA SARE NYINGINE JANA…MWAKALEBELA AIBUKA NA KUVUNJA...
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kuwa hakuna tatizo kwenye klabu hiyo licha ya...
MAN CITY WAMFANYIA KUFRUA YA DUNIA HAALAND…KUMLIPA MSHAHARA WA BILIONI 5...
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland amefuzu vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu Ligi Kuu ya Uingereza...
AUCHO AILAINISHIA KAZI YANGA KWA BEKI LA KAZI…ALISHAWAHI KUWA CHINI YA...
Beki wa kushoto kutoka nchini Uganda Mustapher Kiiza anatajwa kukaribia kujiunga na Klabu ya Young Africans, ambayo imejizatiti kufanya usajili kabambe kwa ajili ya...
DAH NDIO BASI TENA…BARBARA NAYE AKATA TAMAA YA UBINGWA…’AMTUPIA ZIGO LA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez ameanika mipango na mikakati ya usajili kuelekea mwishoni mwa msimu huu, tayari kwa msimu ujao wa...
ONYANGO AKUBALI YAISHE SIMBA…AONGEZA MIWILI CHAP….GEORGE MPOLE NAYE HUYOOOO YANGA SC….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumanne.
FT YANGA 0-0 TZ PRISONS….MAYELE ANAZIDI KUPOTEANA ‘JAMENI’….GUNDU LA SIMBA LAIGANDA...
Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku ukishuhudiwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Tanzania Prisons ukimalizika kwa...
UKWELI MCHUNGU….KAMA KWELI TIMU ZA LIGI KUU ZINGEKUWA BORA…SIMBA INGEKUWA NAFASI...
MJADALA umeendelea kuwa mkali sana kwenye vituo vya redio, televisheni, mitaani, hasa kwenye vijiwe vya kunywa kahawa, mipira, vituo vya wauza magazeti, mabasi, ndani...