SIMBA KUKUTANA NA VINARA HAWA…LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SIMBA imerejea nchini ikitokea Morocco ilikoenda kucheza mechi ya mwisho ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuchapwa mabao 3-1 na vinara wa kundi…
SIMBA imerejea nchini ikitokea Morocco ilikoenda kucheza mechi ya mwisho ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuchapwa mabao 3-1 na vinara wa kundi…
YANGA ina akili sana. Wakati juzi ikikamilisha ratiba ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kucheza na TP Mazembe, jijini Lubumbashi DR Congo, benchi…
Mchezo wa juzi Jumamosi, dhidi ya Raja Casablanca, Simba kuna kitu walijaribu kukionyesha lakini changamoto kwao ni makosa yaliyofanyika kwenye safu ya ulinzi. Pindi unapokutana…
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC Ismail Aden Rage, amesema amebahatika kufanya kikao na Benchi la Ufundi la timu hiyo pamoja na wachezaji…
Klabu ya Simba imebainisha kuwa wachezaji Shomari Kapombe na Kibu Denis ambao walipata majeraha kwenye mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ya michuano ya ligi…
Klabu za Simba na Yanga zimepanda katika viwango vya ubora kwenye michuano ya CAF baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya michuano ya ligi…
April 04, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Mechi za hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika zimekamilika usiku wa kuamkia leo ambapo timu zote zilizofuzu katika hatua hiyo…
Benchi la ufundi la Yanga limeanza mapema kusuka mipango ya kuicheza Kariakoo Derby itakayopigwa Aprili 16 kuanzia saa 11:00 Kwa Mkapa. Moja na mikakati hiyo…
Msanii anayefanya vyema katika game ya Bongo Fleva, harmonize kupitia insta story yake ameshea ujumbe ambao anasema hatoshangilia tena ushindi wa @yangasc kwa sababu kushinda…