Marce Ben Komba
MAGAZETI: MAYELE AMTISHIA BEKI WA WAARABU…SIMBA YAWAPIGA HOROYA AC 7-0
Good Morning Mwanamichezo March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
KOCHA US MONASTIR:- “TUMEFUZU… HATUTOTUMIA NGUVU NYINGI…TUKICHEZA NA YANGA
Kocha Mkuu wa US Monastir, Darko Novic ametoa kauli ya kinyonge kuwa hawatatumia nguvu nyingi watakapovaana na Mabingwa wa Soka Tanzania Young Africans.
Miamba hiyo...
CHAMA ASHTUSHWA KAPOMBE NA TSHABALALA KUACHWA STARS… WADAU WAZUNGUMZA
Nyota wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Rashid Idd 'Chama' ameungana na baadhi ya wadau na mashabiki walioshangazwa kutoitwa kwa mabeki Shomari...
SIMBA SC VS HOROYA AC 7-0…DONDOO MUHIMU ZA MCHEZO HUU
TIMU ya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya...
WACHEZAJI MAMELODI WASHIKWA NA NJAA…TUOMBE WASIKUTANE NA SIMBA SC
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns, siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa.
Kama Simba watafanikiwa kupenya kuingia katika hatua...
MENEJIMENTI UWANJA WA MKAPA NI UTUMBO…WANAJUA KUVUNA PESA TU…”KITUNZE KIDUMU”
TIMU ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ inasafiri wiki ijayo kuelekea Kaskazini mwa Afrika kule Misri, kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa wa...
UKWELI NI KWAMBA…FEI TOTO NDIYE ALIPENDA KULA UGALI NA SUKARI…BAJETI YAKE...
NIPO kijiweni na washkaji zangu ukaibuka mjadala wa malalamiko ya mama wa Feisal Salum "Fei Toto" kuwa mwanaye kuna nyakati alikuwa anakula ugali na...
KIUNGO HOROYA AINGIWA NA HOFU…”NI NGUMU KUSHINDA MECHI HII….TUTAJARIBU KUPATA USHINDI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jean Baleke amesema kazi kubwa imefanywa na viongozi, benchi la ufundi na sasa kilichobaki ni wao kuonyesha thamani yao wakati watakapoikabili...
MZUNGU AWAPA YANGA MBINU YA KUWAUA WAARABU…”SINA MASHAKA NA WANANCHI
YANGA ina dakika 90 za kuandika rekodi mpya ya kufuzu hatua ya robo fainali endapo itashinda kesho Jumapili itakapopambana na US Monastir ya Tunisia...
STAA YANGA:- MAYELE AKIACHA UCHOYO TUTASHINDA…USILAZIMISHE KUFUNGA TOA PASI
NYOTA wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kuwika na Simba na Yanga, Zamoyoni Mogella amesema Clatous Chama na Fiston Mayele ndio walioshikilia tiketi...