Staff Desk
GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU KWENYE KIKOSI CHA YANGA, MAYELE ATAJWA
KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku taarifa zikibainisha kwamba, Muargentina...
SIMBA SC WAPEWA JEURI NA MWAMBA HUYU, AHMED ALLY ATAMBA
WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya, Fabrice Ngoma ambaye unaambiwa...
HII INABALAA TAZAMA WALICHIFANYA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI HUKO UTURUKI
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya Batman Petrolspor katika mchezo wa kirafiki kwenye kambi yake ya kujiandaa...
SIMBA YAPIGA MKWARA, KOCHA APATA MIFUMO MIWILI YA MAUAJI, KIPA MBRAZIL...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
NYANDA LA NIGERIA MLANGANI SIMBA, GAMONDI AMPIGA MKWARA MKUDE
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ROBERTINHO FUNGA KAZI, ASEMA KIKOSI KIMEIVA 100%, YANGA WATAISOMA WALETA MWINGINE...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA WATAMBA , YEYOTE AJE HAKUNA MPINZANI TENA
KIKOSI cha Simba kipo siku za mwisho mwisho za kambi ya maandalizi ya msimu mpya iliyopo Uturuki na Jumatatu ijayo inatarajiwa kurejea nchini, huku...
HUKO SIMBA USHINDI NDIO WIMBO WA TAIFA, ROBERTINHO AWAKALIA KOONI, ONANA,...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amewafungia kazi Washambuliaji wake wapya akiwemo Luis Miquissone na Willy Essomba Onana kwa kuwataka wahakikishe wanaongeza...
ROBERTINHO AMPA MTIHANI HUU NGOMA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Olviera Robert ‘Robertinho’ amemwambia kiungo wake mshambuliaji Mkongamani, Fabrice Ngoma anataka kumuona akiifanyia makubwa klabu hiyo, katika Ligi ya...
BANGALA AFUNGUA KILA KITU, KUHUSU KUTUA AZAM, AWATAJA MAXI, SKUDU, TUHUMA...
KIRAKA anayeondoka Yanga, Yannick Bangala
amefanya mahojiano na akatoa mengi ya moyoni lakini akawapa fundisho mashabiki huku akigusia usajili wa Maxi na Skudu.
Lakini amezungumzia pia...