Staff Desk
KIMEUMANA YANGA…..MUSONDA AITAKA NAFASI HII YA MAYELE
Wakati msimu mpya ukianza na kitendawili cha nani atakuwa mrithi wa mshambuliaji Fiston Mayele, nyota wa Yanga, Kennedy Musonda amefunguka akisema anaitaka nafasi ya...
LUIS MIQUISSONE ATINGA UTURUKI KIBABE AKUTANA NA WAMBA HAWA, HATARI TUPU
LUIS Miquissone kiungo wa Simba baada ya kujiunga na wachezaji wenzake nchini Utuki ameanza mazoezi tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.
Kiungo huyo...
MAAJABU YA GUU LA KUSHOTO LA AZIZ KI SI POA
MGUU wenye nguvu kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ni ule wa kushoto unaompa maujanja ya kuwapa maumivu makipa ndani ya Ligi Kuu...
MPYA YAIBUKA KIBEGI CHA SIMBA, WADAU WADAI KIPELEKWE MAKUMBUSHO….. ISHU NZIMA...
KIBEGI cha Simba kimefunguliwa juu ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni uzinduzi wa jezi mpya kwa msimu wa 2023/24 ilikuwa Julai 21 2023.
Tumeona namna ambavyo...
CAF YAIPA YANGA SIKU TATU, MTIHANI UPO HAPA MASTAA WAMPAGAWISHA ROBERTINHO,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MAYELE ATUA MISRI KIFALME…. ROBERTINHO AFUNGA HESABU UTURUKI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA YAICHAPA 2-0 TIMU YA TURKMENISTAN MECHI YA KIRAFIKI LEO
MABAO ya Kibu Dennis na Nahodha, John Raphael Bocco yameipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya Turan FK ya Turkmenistan katika mchezo wa...
SLOTI YA UTALII NA MERIDIAN BET
Safari za utalii huwa zinanoga sana haswa mnapokuwa na vibe la kutosha, Meridianbet inakupeleka kutalii ukiwa na waongozaji mahari kwenye mchezo wao mpya wa...
GAMONDI WA YANGA NAE ATAMBA, AWATAJA MASTAA HAWA KATIKA USAJILI WA...
KATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi wa mabao mengi, Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina Miguel Gamondi ameanza mazoezi ya kimbinu kwa wachezaji wake akitaka...
VIGOGO SIMBA WATAMBA KUHUSU USAJILI WAO, KRAMO, ONANA, NA KIPA MBRAZILI...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili ambao wameufanya msimu huu unastahili kwao kufanya vyema msimu ujao haswa kuyarudisha mataji yote ambayo wameyapoteza kwa...