Home Uncategorized RATIBA YA LEO JUNI 14, LIGI KUU BARA

RATIBA YA LEO JUNI 14, LIGI KUU BARA

0

LEO Juni 14 kuna mechi mbili za Ligi Kuu Bara zitachezwa viwanja viwili tofauti kushuhudia ushindani.

Miguu ya wanaume 44 itakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu namna hii:- ni Azam v Mbao, Uwanja wa Azam Complex majira saa 1:00.

Simba v Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa, Majira ya saa 10:00 jioni.