Uncategorized

BERNARD MORRISON ATAJA SABABU YA KUIKOSA MWADUI FC, SASA KUIBUKIA HUKU

admin June 14, 2020 5:47 am

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ataungana na kikosi Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.

Morrison aliukosa mchezo wa jana dhidi ya Mwadui FC uliochezwa Uwanja wa Kambarage.

Mchezo huo Yanga ilishinda bao 1-0 lililofugwa na Balama Mapinduzi dakika ya sita.

“Sikuweza kujiunga na kikosi Shinyanga kwa kuwa nilikuwa bado nina maumivu kwenye mguu hivyo niliona ni bora nitulie kwanza maumivu yatulie,”.

Juni 17, Yanga itashuka Uwanja wa Jamhuri kumenyana na JKT Tanzania.

RATIBA YA LEO JUNI 14, LIGI KUU BARA VIDEO:SAKATA LA MOLINGA, MAHAKAMA YAINGILIA KATI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply