Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

MRITHI WA MANULA ATUA RASMI SIMBA, AHMED ATAMBA

0
Wakati Simba SC ikizindua jezi jana Ijumaa (Julai 21) usiku, Mlinda Lango Simon Omossola raia wa Cameron ametua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili...

ACHANA NA YANGA, SIMBA SASA WAPENYA KIMATAIFA KAMA MASKHARA

0
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa mazoezi kujiandaa na msimu mpya ikiwa jijini Ankara, Uturuki ikiwa inajiandaa kupokea mastaa wengine akiwamo Luis Miquissone na...

HUKO KAMBINI KWA YANGA SIO POA, HAPA SKUDU PALE MAXI GAMONDI...

0
KAMA ulipanga kukosa kesho kwenye kilele cha wiki ya wananchi pale Uwanja wa Benjamin Mkapa. Badili akili yako,huo moto ulioko huko mazoezini siyo wakuukosa....

GAMONDI ATAMBA KUHUSU UBINGWA WA MSIMU HUU YANGA

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Angel Miguel Gamondi amesema ana matumaini makubwa na kikosi chake kuelekea msimu mpya 2023/24,...

MZIMU WA MAYELE WAENDELEA KUSAKAMA YANGA, KUMPATA MRITHI WAKE MAJANGA, MPOLE...

0
Baada ya taarifa za kuuzwa kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye anakwenda kujiunga na Pyramid ya Misri, mawazo sasa kwa uongozi wa mabingwa...

MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE SIMBA KUFURU

0
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis...

SKUDU NA SAKATA LA JEZI YA FEI TOTO YANGA

0
Nyota mpya wa Yanga,Mahlatse Makudubela’Skudu’ amesema hakuchagua kutumia jezi namba sita bali alichaguliwa. Skudu amezungumza hayo leo muda mfupi kwenye mkutano na waandishi wa habari...

MTEGO WA MAYELE YANGA SASA HADHARANI

0
NYOTA wa zamani wa kimataifa waliowahi kuwika Simba na Yanga, Edibily Lunyamila na Dua Said wameanika mtego ulioachwa na Fiston Mayele ndani ya Yanga...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS