Staff Desk
YANGA WASHINDWA KUMZUIA MAYELE, ATIMKIA TIMU HII USAJILI WAKE KUFURU
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni Mshambuliaji wao...
KAZE BYE BYE YANGA NAFASI YAKE YACHUKULIWA NA MCAMEROON HUYU
Mwanaspoti
Soka
Yanga yashusha Msenegal
Jumatano, Julai 12, 2023
By Aisha Mbuma
Summary
Klabu ya Yanga katika kujiimarisha upya na msimu ujao imefanikiwa kumshusha Moussa Ndao kuwa Kocha Msaidizi akichukua...
KLABU YA SINGIDA FOUNTAIN GATE IMEELEZA MALENGO YAKE, HUKU AKILI YOTE...
Klabu ya Singida Fountain Gate, imeweka wazi malengo yao kuelekea msimu ujao wa michuano yote watakayoshiriki msimu wa 2023/24, huku ikishindwa kukunjua makucha yao...
SIMBA SC HATUJAMALIZA ZOEZI LA USAJILI, VYUMA VINGINE HIVI HAPA
Pamoja na kutangaza wachezaji watatu mpaka sasa, klabu ya Simba SC imesema bado haijamaliza zoezi la usajili, huku ikitangaza nafasi tatu hadi nne ambazo...
SASA NI KITU BAADA YA KITU, YANGA WALIAMSHA MKUDE AIKATAA JEZI...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
JEMBE ASEC IMEBAKI SAA TU, UTAMBULISHO WAKE YANGA KUTIKISA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
NTIBAZONKIZA AFUNGUKA KILICHOMFANYA AENDELEE KUBAKI KATIKA KLABU YA SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu...
KOCHA MPYA WA YANGA AWATULIZA MASHABIKI, AZUNGUMZIA MSIMU WAKE NI ZAIDI...
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewataka Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo kutarajia mazuri zaidi ya msimu uliopita, hivyo wanapaswa kuwa watulivu...
BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA KILICHOMSHAWISHI KUJIUNGA NA KLABU HIYO
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC akitokea Coton Sports ya Cameroon, beki Che Malone Fondoh amefunguka akisema amekuja kwa ajili...
HIZI OFA TATU ZILIZOPO MEZANI KWA YANGA KWAAJILI YA MAYELE, HII...
MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na Kombe...