Latest Posts

YANGA YAMKALIA KOONI STRAIKA MSAUZI

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

Habari za Michezo Bongo

KAZE MAMBO MENGINE YANUKIA IHEFU

Baada ya kuachana na Kocha kutoka nchini Uganda Moses Basena, uongozi wa Klabu ya Ihefu FC huenda ukamtwaa aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Young Africans…