Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SIO SIMBA, YANGA MAMBO NI MAGUMU STORI KAMILI IKO HIVI

0
Gazeti la Mwananchi jana Jumapili limeripoti katika ukurasa wake wa michezo wa nyuma kwamba “Simba, Yanga mambo magumu Afrika”, likizungumzia matokeo ya mechi mbili...

AHMED ALLY ASEMA HAYA KUHUSU WYDAD SIO POA

0
Afisa Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, #AhmedAlly amedai kuwa ‘klabu’ ya Wydad ni mnyama mkali aliyesinzia hivyo wanatakiwa kujiandaa kukabiliana nao katika...

UJIO WA KOCHA MPYA SIMBA,ULIVYOWASAHAULISHA WANAMSIMBAZI MIAKA 30 YA SIMANZI

0
Inawezekana wengi wenu hii imewapita. Sio kwa sababu hamjui, ila ni kutokana na kuwa bize na ujio wa Kocha Mpya wa Simba, Abdelhak Benchikha...

BAADA YA UKIMYA MWINGI ONYANGO AFUNGUKA HAYA

0
Baada ya kimya cha muda mrefu bila kuonekana uwanjani akiwa na kikosi cha Singida Fountain Gate, beki Joash Onyango ameweka wazi kilichofanya asionekane ni...

MASHABIKI WAYDAD WAFUATA NYAYO ZA SIMBA WAMEKIWASHA HUKO HATARI

0
Mashabiki wa Klab ya Wydad Club ya Morocco wameanza kampeni za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wao wa sasa Said Naciri, hii ni baada ya klabu...

BENCHIKHA ABEBA WINGA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BENCHIKHA TULISTAHILI USHINDI

0
benchikha afunguka yaliyotokea botswana baada ya kulazimishwa sare na wenyeji wao katika michuano ya caf

KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

0
Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi. Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa...

CHAMPIONSHIP MUAMUZI AZUA GUMZO…ISHU IKO HIVI

0
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City...

JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU

0
Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS