Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA HUYU NI MTU SIO MALAIKA…. MSIJIJAZE UPEPO

0
Pengine sasa nafasi za Wanasimba zitatulia baada ya ujio wa kocha Abdelhak Benchikha kutoka Algeria ambaye msimu uliopita aliipa USM Alger taji la Kombe...

YANGA ISIWACHUKULIE POA AL AHLY

0
Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa. Tatizo...

BENCHIKHA AWATULIZA MASTAA ISHU YA UWANJA FRESH

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

GAMONDI ALIAMSHA AKATAA UTARATIBU HUU WA VIONGOZI WA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Miguel Gamondi amepinga utaratibu wa uongozi wa Klabu ya Yanga kuzipa majina ya wachezaji wao, mechi zao za nyumbani...

AL AHLY WAIKATAA YANGA MCHANA KWEUPEEEEE

0
Mchezaji wa Al Ahly, Ali MaĆ¢loul amesema kuwa hawakuwa wanaijua Yanga SC, lakini walivyoingia hatua ya Makundi ndiyo wakaanza kuifuatilia. Nyota huyo raia wa Tunisia...

AL AHLY WAIPIGA MKWARA MZITO YANGA,GAMONDI APEWA TAMKO HILI

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly Marcel Koller ameliambia amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho Jumamosi (Desemba...

SHAOLIN CREW KASINO YA USHINDI MKUBWA MERIDIAN BET

0
Taifa la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira ile mbaya...

SIMBA SIO KINYONGE ATUA BOTSWANA KIFALME

0
Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023. Simba wamewasiri wakiwa...

BAADA YA YANGA KUPOTEZA MCHEZO WA KWANZA,GAMONDI ASEMA HAYA KUELEKEA MCHEZO...

0
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi amesema makosa waliyoyafanya dhidi ya CR Beloizdad hawatayarudia katika mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly. Yanga wanashuka...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOSAFIRI KUELEKEA BOTSWANA

0
Simba wameondoka nchini leo alfajiri Desemba 1, 2023 kuelekea nchini Botswana kwa ajili ya kuwakabili Jwaneng Galaxy, mchezo wao wa pili wa hatua ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS