Home Uncategorized BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA

BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA

0

Kutoka Young Africans

Salamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia ‘kiroho mbaya’, ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.

Abdulaziz Makame, karibu Yanga, hongera kwa kujiunga na Mabingwa wa kihistoria.